Monday, September 21, 2009
CLOUDS TV!
Kama Vile Clouds FM inavyowaburudisha wananchi kwa kupitia Vipindi vizuri na Kuwa na Taarifa nyingi kwa njia ya Sauti,Ofisi kuu ya Clouds imewapasa kufanya maandalizi mazuri zaidi ya kukuburudisha, kuelimisha na kukutaarifu mengi zaidi kwa njia ya Picha (Video)ambapo utapata kuona mapya na yasiyo chosha kuangalia kaa vyema kwa burudani, biashara, elimu na CLOUDS TV!
Subscribe to:
Posts (Atom)